L lusohoko JF-Expert Member Joined May 12, 2024 Posts 800 Reaction score 696 Aug 13, 2024 #1 Tangu asubuhi nafuatilia sioni jina la Lissu kuachiwa nijuzeni wenye habari vipi yuko huru? Poleni kama nawasumbua maana niliona taarifa inasema kwamba wengine wameachiwa isipokuwa wenye jinai. PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana, baadhi wakwama
Tangu asubuhi nafuatilia sioni jina la Lissu kuachiwa nijuzeni wenye habari vipi yuko huru? Poleni kama nawasumbua maana niliona taarifa inasema kwamba wengine wameachiwa isipokuwa wenye jinai. PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana, baadhi wakwama