Tangu asubuhi nafuatilia sioni jina la Lissu kuachiwa nijuzeni wenye habari vipi yuko huru?
Poleni kama nawasumbua maana niliona taarifa inasema kwamba wengine wameachiwa isipokuwa wenye jinai.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana, baadhi wakwama