Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Jan 18, 2022 #21 Babati said: Sijakuelewa mkuu Click to expand... Yule balozi anasema shule ya Feza inafadhiliwa na magaidi. Hao magaidi anaowasema ni wapinzani wa kisiasa wa serikali ya Uturuki. Anachosema balozi ni sawa na baadhi ya watu wa CCM wanavyosema Mbowe ni gaidi. Ni madai ya kisiasa ambayo hayana ushahidi wa fact.
Babati said: Sijakuelewa mkuu Click to expand... Yule balozi anasema shule ya Feza inafadhiliwa na magaidi. Hao magaidi anaowasema ni wapinzani wa kisiasa wa serikali ya Uturuki. Anachosema balozi ni sawa na baadhi ya watu wa CCM wanavyosema Mbowe ni gaidi. Ni madai ya kisiasa ambayo hayana ushahidi wa fact.
goroko77 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 8,845 Reaction score 13,072 Jan 18, 2022 #22 HV ndiye rais wake anaitw recep taip edogurn
goroko77 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 8,845 Reaction score 13,072 Jan 18, 2022 #23 Rais yuke walizinguana sna na Trump