supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Bado sana mkuu, sana yaniNa iwe huko duniani,ikifika kwa MOND mtasema sio tu kanunua like,bali mtasema kainunua Youtube. Ila hapa sisikii ikielezwa kuwa Justine kazinunua like.
-Tuachane na hii ndoto kwanza
**Tuangalie WCB wamejipanga vipi 2017 kuna kichwa chochote kinaingia mjengoni au tunaongeza makamuzi