Nimeona utube nyimbo za wakali wa Nje Kama Justin Timberlake wana Like adi BIL. 1.2

Nimeona utube nyimbo za wakali wa Nje Kama Justin Timberlake wana Like adi BIL. 1.2

Na iwe huko duniani,ikifika kwa MOND mtasema sio tu kanunua like,bali mtasema kainunua Youtube. Ila hapa sisikii ikielezwa kuwa Justine kazinunua like.
Bado sana mkuu, sana yani
-Tuachane na hii ndoto kwanza
**Tuangalie WCB wamejipanga vipi 2017 kuna kichwa chochote kinaingia mjengoni au tunaongeza makamuzi
 
1.2b unashangaa? Kashangae pia Roar ya Katy Perry pia Bang Bang Bang ya Jessie J
Kweli kabisa mkuu.
-Roar ya katy perry ni nzuri sana kila siku ipo kama muvie 1.8B
-wakawaka nyimbo ya shakira ile kwenye kombe la dunia lililofanyika Afrika kusini 2010 ipo na 1.2B
-see you again wiz khalifa 2.2B
-sorry justin biber 2B
 
Na iwe huko duniani,ikifika kwa MOND mtasema sio tu kanunua like,bali mtasema kainunua Youtube. Ila hapa sisikii ikielezwa kuwa Justine kazinunua like.
kule hakuna janja janja
 
Back
Top Bottom