supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Bado sana mkuu, sana yaniNa iwe huko duniani,ikifika kwa MOND mtasema sio tu kanunua like,bali mtasema kainunua Youtube. Ila hapa sisikii ikielezwa kuwa Justine kazinunua like.
Kweli kabisa mkuu.1.2b unashangaa? Kashangae pia Roar ya Katy Perry pia Bang Bang Bang ya Jessie J
kule hakuna janja janjaNa iwe huko duniani,ikifika kwa MOND mtasema sio tu kanunua like,bali mtasema kainunua Youtube. Ila hapa sisikii ikielezwa kuwa Justine kazinunua like.
most watched video on youtube 2.7billion