Nimeona utube nyimbo za wakali wa Nje Kama Justin Timberlake wana Like adi BIL. 1.2

Nimeona utube nyimbo za wakali wa Nje Kama Justin Timberlake wana Like adi BIL. 1.2

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Aise mtu ana like adi BIL 1.2, !!?????
 
Huku kwetu celebrities
-Likes kwa Fb hazifiki 50,000
-Likes kwa twitter hazifiki 5,000
-Likes za insta hazifiki 100,000
 
Mmh kwenye porn mtu like na views mpaka trilion 100

Hakuna video yenye likes trillion 100 duniani na haitokuja kutokea Kwasababu hata kama kila mtu duniani mpaka vichanga wataiona video na kuilike kwa simu tatu tatu bado haitofika hata trillion 1

KUMBUKA MPAKA SAHIV VIDEO ILIYOTAZAMWA ZAIDI DUNIANI IMETAZAMWA NA WATU BILLION 2.6
hivyo hata kama kila mtu aliyeangalia angelike ingekuwa ni 2.6 likes
 
Dunia ina watu bilioni 7. Walio ma access ya internet ni.kama bilioni 5 . walio interest na miziki NJ kama 2 billion na walio interest na muziki wa Justin timberlake ni kama milioni 500…........
 
most watched video on youtube 2.7billion
psy gangnam style
 
Mhh,,bil au tr.??mana wimbo kama WA wiz khalifa ndio moja ya wimbo niujuao wenye views nyingi karibia ,bil.3,
Punguza ushamba mbona mambo ya kawaida sana sasa mbona kuna nyimbo zina views trillion tatu
 
Na iwe huko duniani,ikifika kwa MOND mtasema sio tu kanunua like,bali mtasema kainunua Youtube. Ila hapa sisikii ikielezwa kuwa Justine kazinunua like.
 
Back
Top Bottom