Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mitandao yote ya kijamii matapeli wamejaa ila Facebook kwasababu ina watumiaji wengi kuliko mitandao mingine huko ndiko kuna matapeli concord.
Shemeji yangu mhitimu wa chuo cha kilimo kaliwa na mjemba mmoja aliyejifanya mwajiri. Kampanga wakutane Iringa amwajiri akamzungusha kuwa yuko mbali mpaka giza linaingia akajifanya anamlipia lodge akamla na ajira hajampa.
Binti mwingine aliliwa na tapeli aliyejifanya kumkabidhi nyumba aliyomnunulia . Kampa funguo kabisa kamla na nyumba hajapewa wala kuiona.
Nancy Moshi kavuma kidogo tu matapeli zaidi ya 20 wameibuka wanajilia pesa za wapumbavu kirahisi. Eti wanatoa ajira za ukondakta wa mabasi.
MO Dewji kupitia jina lake katengeneza matapeli zaidi ya 20.
Tulia Ackson
Samia
Nandy Supermarket
Kajala
Shishi baby
Freemasons
JWTZ
JKT
UNICEF
UNDP
Eti mzungu anakuomba urafiki leo kesho anakutumia laptops za mamilioni na ndani ya parcel kajaza midola. Kijana akili zinamruka anajikuta kapigwa laki moja ya kutumia mzigo uliopotea njia.
Hapa sijawaweka wale wa kukutumia video chafu ambazo wanapakua lakini wajinga wanaambiwa ni zao, ni vijana wa kiume but wanajifanya mabinti. Wanapata pesa nyingi sana, per day anapata mpaka laki 5 siku biashara ikikaa vizuri.
Nilipowahoji wanasema wanapiga pesa nzuri tu, wanadrive, wanajenga n.k
Na wateja wao wakubwa ni wasomi.
Hii maana yake ni kwamba vijana wengi kadri wanavyosonga mbele kielimu ndipo ujinga huwasogelea zaidi.