Imole
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 1,438
- 4,053
Umri mdogo sio sababu, ni kukosa exposureKingine kinachosababisha wasomi wanakuwa wajinga ni kumaliza shule na umri mdogo
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri mdogo sio sababu, ni kukosa exposureKingine kinachosababisha wasomi wanakuwa wajinga ni kumaliza shule na umri mdogo
CHUO CHA KILIMO WOTE HUWA NI WAJINGA WENYE MAKARATASI YANAYOITWA DEGREE.Muhitimu chuo cha kilimo!!
All the best
Afisa Ugani (Agriculture Executive Officer)alienda kumtembelea Mkulima wake,,wakabahatika kupanda mbegu katika shamba darasa na ameanza mashamba darasa hata kabla ya ajiraMuhitimu chuo cha kilimo!!
All the best
GreatKwahiyo unataka wamalize shule uzeeni? Kwani umri wa kuanza darasa la kwanza ni miaka mingapi?
Ujinga ni mwingi siku hizi, nina mtoto form six kureport shuleni bado anapelekwa na mama yake, mimi form shuleni nilikwrnda kureport mwenyewe tena miaka hiyo ya S.l.p mpo assembly waliotumiwa barua wanaitwa kuchukuwa barua zao wewe huna wa kukutumia barua.
Mimi wale jamaa wakija inbox KUNIUZIA sure odds nawaambia kama ni sure na wewe unawapiga sana basi bila shaka una pesa nyingi sasa leo kwakuwa unasema mkeka wa 10k tapata 15milioni. Basi chukua milioni 1 tu kati ya mamilioni uliyovuna weka mkeka wa uvune 1.5 bilion uache kukesha Facebook na InstagramWatafute nawale wazee wa kusuka mikeka unawapa hela wanakusukia mkeka huku wakidai ni uhakika watakwambia wanavowatapeli watu wengi.
Nashukuru hatua hizo zote nimezipitia na Mabadiliko yangu yamekuwa kwa Kasi sana, now I'm free entityHuyu aliepewa funguo ndo nimecheka sana, but ukiwa na tabia zifuatazo wewe lazima utapeliwe
1.kupenda vitu vya bei chee
2.kutaka mafanikio Kwa haraka
3.kufanya maamuzi Kwa mhemuko (emotional) badala ya kutumia akili
4.kumuamini binadamu mwenzako kirahisi
5.kupenda muujiza wa kuombewa zaidi kuliko kufanya kazi
6.kushikwa kichwa na wanaojiita manabii na mitume
7. Kuwasikiliza motivational speaker
8.kutamani mafanikio ya wengine...
9.✍️
Pata glass mbili hapo kwa mama muuza nitalipa.Bila kuweka manabii na mitume bado haujazungumzia utapeli vizuri.
Chuo cha kilimo ni pamoja na SUA?CHUO CHA KILIMO WOTE HUWA NI WAJINGA WENYE MAKARATASI YANAYOITWA DEGREE.
Ukiondoa vyoote unavyofundishwa shuleni kile unachobakiwa nacho kichwani ndio akili sasa!..tafakariUngetaja hizo fani sio fani zote
Zingine kadri unavyosonga mbele kielimu akili.na uwezo unaongezeka
Agriculture Extension OfficerAfisa Ugani (Agriculture Executive Officer)alienda kumtembelea Mkulima wake,,wakabahatika kupanda mbegu katika shamba darasa na ameanza mashamba darasa hata kabla ya ajira