MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Bado nchi ina watu wajinga sana.Juzi kuna mdada kapigwa visenti vya mpesa na Bank jamaa wamepunyua! Ni hawa wasajili line wanaopita mitaani, wakamwambia waifanye line yake isome 5G kutoka 4G, akawapa simu, jamaa chaap, wakahack line , na wakawa na access ya kuingia account zake!, baada ya kumkabidhi simu yake, wakamwambia baada ya dk itakuwa sawa....jamaa wakachomoa Mil 5 bank na Mpesa nako wakakomba.