Nimeongea na matapeli kadhaa politely majibu waliyonipa nimehitimisha kuwa kadri elimu inavyokua upumbavu nao unakua kwa kasi

Bado nchi ina watu wajinga sana.
 
Matapeli wa viwanja makurunge Bagamoyo
Wahanga
Mabalozi
Wabunge
Mawaziri
Majaji
Makatibu wakuu
Ma rc
Ma dc
Wanasheria wa serikali nk πŸ˜‚
 
Ukweli tu niseme Unicef aliwahi nipiga
 
Huyo mhitimu wa kilimo ni wa SUA
 
Tunawaendekeza sana watoto siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…