Nimeota Al Ahly ikishinda 0-4, wapinzani wao sikuona ni timu gani

Nimeota Al Ahly ikishinda 0-4, wapinzani wao sikuona ni timu gani

Ulivo maliza tu ikaendela kwangu simba walirudisha zote wakapiga na kimoja ikwa tano kwa nne
 
Habari za wikiendi na skukuu ya Baba wa Taifa. Bila kuchelewa ngoja niende kwenye mada husika.

Usiku wa jana kuamkia leo nileota ndoto ya ajabu mpaka hivi sasa cjajua inamaana gani.

Nimeota Al Ahly ya Misri ikishinda magoli 4-0 huku wapinzani wao sikuweza kuwaona ni timu gani.

Mwenye ujuzi wa hili naomba anisaidie.

Nawasilisha
Endelea kuota. Bahati nzuri haukujua inacheza na timu gani. Huenda ndoto yako inaweza kuwa ilishatimia nawe ulioteshwa marudio au itatimia siku yoyote hata kama si leo.
 
Unapata wapi muda wa kulala hadi kuota ndoto ndugu yangu?????

Kula vitabu mkuu
 
Back
Top Bottom