D
Mama huyu huyu atamke maneno hayo?. Labda kama sio mzanzibar.Nimeota Kesho tarehe 02 December 2025 Kuna Kiongozi wa ngazi ya juu atatoa tamko Mh
Tundu Antipas Lissu Aachiliwe Mara Moja pamoja na Polisi kuambiwa Polisi waache Kuteka na Kuua watu.
Hii yote maandamano ya December 9 yasifanyike.
anyongwe na nani? Watu tunataka maridhiano taifa lipone, hatutaki visa sie waungwanaEndelea kuota huyo lazima anyongwe
huamini?Mama huyu huyu atamke maneno hayo?. Labda kama sio mzanzibar.
RAIS ASIJARIBU KUFANYA HILO KOSA, ATANGAZE PIA KUWA RISASI ZIPO ACTIVE NA HATAVUMILIWA MCHOCHEZI YEYOTENimeota Kesho tarehe 02 December 2025 Kuna Kiongozi wa ngazi ya juu atatoa tamko Mh
Tundu Antipas Lissu Aachiliwe Mara Moja pamoja na Polisi kuambiwa Polisi waache Kuteka na Kuua watu.
Hii yote maandamano ya December 9 yasifanyike.
Sema jamaa anawanyima sana usingizi ila mtake musitake atatoka tu utaikumbuka hii post .Endelea kuota huyo lazima anyongwe
Risasi zina kazi gani?Wanajua mziki wake wakimuachilia. Hamtauza hata nyanya maana back to back
RAIS ASIJARIBU KUFANYA HILO KOSA, ATANGAZE PIA KUWA RISASI ZIPO ACTIVE NA HATAVUMILIWA MCHOCHEZI YEYOTE