4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Hakuna cha kuota hapa ,bali yale ,mimi ndio Amiri jeshi mkuu basi ,Nimeota Kesho tarehe 02 December 2025 Kuna Kiongozi wa ngazi ya juu atatoa tamko Mh
Tundu Antipas Lissu Aachiliwe Mara Moja pamoja na Polisi kuambiwa Polisi waache Kuteka na Kuua watu.
Hii yote maandamano ya December 9 yasifanyike.
Mengine kwenye hotuba
1. Tusialibu nchi yetu kwa wachozezi kutoka nje ,ambao wamewapa vijana kuandamana hawa hawalitakii taifa letu mema
2 .Tiyari tumeunda tume ya uchungunzi na ni wakati watz wazengu kuridhiana ,tujenge taifa letu ,hakuna baba au mama wa kutujengea taifa letu
3. Hatutakuba yoyote avuruge amani ya taifa letu , tushikamane watanzania wenzangu .
4. Niwahakikishie watz ,chini ya tume inayoongozwa na jaji flani hatutaona haya kuchukua hatua stahiki pale yoyote amebanika kwa mjibu wa sheria.
Note
Mungu ananiambia itapita kati yamoja mistari hapo juu , ngoja kesho tuone