4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Hakuna cha kuota hapa ,bali yale ,mimi ndio Amiri jeshi mkuu basi ,Nimeota Kesho tarehe 02 December 2025 Kuna Kiongozi wa ngazi ya juu atatoa tamko Mh
Tundu Antipas Lissu Aachiliwe Mara Moja pamoja na Polisi kuambiwa Polisi waache Kuteka na Kuua watu.
Hii yote maandamano ya December 9 yasifanyike.
Hili tamko halihitaji mpaka awaite hao inaosemekana ni "wazee wa DSM"RAIS ASIJARIBU KUFANYA HILO KOSA, ATANGAZE PIA KUWA RISASI ZIPO ACTIVE NA HATAVUMILIWA MCHOCHEZI YEYOTE
Pompeo alisema CIA mara nyingi ilikuwa kupotosha na Uongo mwingi! Ndiyo ni hapana na Hapana ni ndiyo!waache Kuteka na Kuua watu.
Haisaidii KituUmeona mbali mleta mada, kesho lazima kuna la uzito litatamkwa!
Yetu masikio.
Nimeota Kesho tarehe 02 December 2025 Kuna Kiongozi wa ngazi ya juu atatoa tamko Mh
Tundu Antipas Lissu Aachiliwe Mara Moja pamoja na Polisi kuambiwa Polisi waache Kuteka na Kuua watu.
Hii yote maandamano ya December 9 yasifanyike.
Natamani ufeRAIS ASIJARIBU KUFANYA HILO KOSA, ATANGAZE PIA KUWA RISASI ZIPO ACTIVE NA HATAVUMILIWA MCHOCHEZI YEYOTE
ahaaaa ntafikisha 98 ungona wale jaaaaa walivyokuwa ******* wamemchomea bill nass na kuiba kwa nini? shenzi kabisaNatamani ufe
Hakuna jitu nalichukia kama hili jambazi lililovaa uniform za police
Shoga la Abdul umebakiza tobo tuu, kila ukitembea linapiga miluziEndelea kuota huyo lazima anyongwe
watanzania wa sasa sio waoga akumbuke hivyoHotuba ya kesho itakuwa hivi," MIMI NDIYE AMRI JESHI MKUU, OLE WAKE MTU AANDAMANE, kamanda Muriro upa? IGP wambura, CDF mkunda, DGIS, fanyeni kazi yenu, kamanda mafwele unafanya kazi nzuri sana. Watanzania nawaonya serikali hii sio ya kuchezea.
Baada ya hapo Muriro anasimama anapiga salute, alafu anasema atakayeandamana atakutana na risasi.
NdiyoHivi watakaondamana wakisema wanaandamana kudai Miili ya Wapendwa wao waliouwawa wapewe wakazike wapendwa wao waliowauwa kwa heshima, Je mtawapiga risasi???
Tusikae kwa sasa kwa kutegemea huruma ya mtu mmoja , hapa ndo maana ya kutaka katiba mpya , ili mifumo isimame katika ukweli na haki ,hii tabia ya kusubili mtu mmoja nani afe, nani afunguliwe mashitaka ya uhongo ,nani anatakiwa achiliwa huru , nani amteue flani nani amfute mteule kazi , ndo imetufikisha hapa .Nimeota Kesho tarehe 02 December 2025 Kuna Kiongozi wa ngazi ya juu atatoa tamko Mh
Tundu Antipas Lissu Aachiliwe Mara Moja pamoja na Polisi kuambiwa Polisi waache Kuteka na Kuua watu.
Hii yote maandamano ya December 9 yasifanyike.
Umeota au unajifanya mtabiri wakati ni ubabaishaji wa kawaida? Asipoachiwa utasemaje? kwani makosa yake ya uhaini yameisha au rais naye siku hizi ni mahakama?Nimeota Kesho tarehe 02 December 2025 Kuna Kiongozi wa ngazi ya juu atatoa tamko Mh
Tundu Antipas Lissu Aachiliwe Mara Moja pamoja na Polisi kuambiwa Polisi waache Kuteka na Kuua watu.
Hii yote maandamano ya December 9 yasifanyike.
Ni wapumbavu hawo ni mashoga ya lumumba. Siku ya maandamano ccm wote walijificha .Hivi watakaondamana wakisema wanaandamana kudai Miili ya Wapendwa wao waliouwawa wapewe wakazike wapendwa wao waliowauwa kwa heshima, Je mtawapiga risasi???
nimegundua ni kwanini netanyau anataka kufuta vizazi vya aina yako na nampongeza sana kuwa na dunia na watu wasio na akili ni mzigo wa duniaRAIS ASIJARIBU KUFANYA HILO KOSA, ATANGAZE PIA KUWA RISASI ZIPO ACTIVE NA HATAVUMILIWA MCHOCHEZI YEYOTE
Huyu Jamaa sijamsikia mda mrefu, siyo kawaida yake.
Kuwa serious muda mwingine. Mnajidhalilisha hapa JF. Mtu akiona post/thread yako ana skip maana anajua hamna kituNimeota Kesho tarehe 02 December 2025 Kuna Kiongozi wa ngazi ya juu atatoa tamko Mh
Tundu Antipas Lissu Aachiliwe Mara Moja pamoja na Polisi kuambiwa Polisi waache Kuteka na Kuua watu.
Hii yote maandamano ya December 9 yasifanyike.
Uzuri umejionea. Kiko wapi?huamini?