D
DeletedMember281674
Guest
Nimeota Akijiuzulu Nafasi yake na wadhifa wake akikaa pembeni
Ulilala saa ngapi?Nimeota Akijiuzulu Nafasi yake na wadhifa wake akikaa pembeni
We bibie japo mimi ni kataa ndoa, ila ukiacha uchawa wako Niko tayari kukuozesha kwa mbuzi wangu.Ulilala saa ngapi?
😃😃😃Africa hii? 🤣🤣
Nani? Tutajie muache uganga wa kienyeji na uzwazwa wa kujifanya watabiri wakati ni mavii matupu. Ajiuzulu nani kwa mawazo yako uchwara?Nimeota Akijiuzulu Nafasi yake na wadhifa wake akikaa pembeni
Nimeota Akijiuzulu Nafasi yake na wadhifa wake akikaa pembeni
Huyu alishakula nyama za watu si bure.Lakini huyo hawezi kuwa YEYE. Akiomba hata msamaha tu kwa kusema SAMSHANI. Naomba unitag.
Mkuu ulikula chakula cha usiku?Nimeota Akijiuzulu Nafasi yake na wadhifa wake akikaa pembeni