Nimeota: Kiongozi Mkubwa leo tarehe 02 December akijiuzulu Nafasi yake

Nimeota: Kiongozi Mkubwa leo tarehe 02 December akijiuzulu Nafasi yake

uko sahihi, lakini siyo huyo mkubwa, japo kunaweza kua utenguzi tu, maana bila hivyo kutawala itakua ngumu
 
Jitahid kufua mashuka na kuepuka kula mihogo unapoelekea kulala
 
Mtu anapouliwa, mtuhumiwa hushtakiwa na kushikiliwa mahabusu kwa tuhuma za mauaji mpaka itakapothibitika mahakamani kuwa si muuaji. Sidhani kama kuna waTanzania wasio na uelewa na hii sheria na kama wapo ni wachache.
 
Mmm litakuwa jambo jema sana kama litatokea kweli
 
Ajiuzulu akina mafwele awaache na nani?
 
Back
Top Bottom