Ndio nimeamka mida hii, ila usingizi wangu ulikuwa wa mang'amu ng'amu sana, nimeota man utd ikiwa imetoa sare ya 2-2 dhidi ya seville huku mpira ukiwa umeisha na wachezaji wa seville wakiongozwa na Banega wakishangilia uwanja mzima wa old traford.
Yaani umeota dakika 20 zilizopita, ukaamka na kuanzisha thread?Ndio nimeamka mida hii, ila usingizi wangu ulikuwa wa mang'amu ng'amu sana, nimeota man utd ikiwa imetoa sare ya 2-2 dhidi ya seville huku mpira ukiwa umeisha na wachezaji wa seville wakiongozwa na Banega wakishangilia uwanja mzima wa old traford.
Kama ilivyo serikali ya Kiongozi wa malaika.kiki kiki kiki ndio vipaumbele vya Magufuli.Man U haina lolote zaidi ya media promo
Mtu ukilala huku una njaa kuna wakati unaweza ota umegeuka kuwa mwewe!Ndio nimeamka mida hii, ila usingizi wangu ulikuwa wa mang'amu ng'amu sana, nimeota man utd ikiwa imetoa sare ya 2-2 dhidi ya seville huku mpira ukiwa umeisha na wachezaji wa seville wakiongozwa na Banega wakishangilia uwanja mzima wa old traford.
W. Ben Yedder!!!! Jose out!Kwa taarifa yako MAN UNITED chini ya JOSE hawapotezagi mechi za nyumbani
GGMU
GGMU
GGMU
GGMU
GGMU
GGMU
GGMU
GGGGGGGGGGGGGGGGGGMMMMMMMMMUUUUUUUUUUUU