Nimeota Man Utd ametolewa kwenye UEFA

Nimeota Man Utd ametolewa kwenye UEFA

Ndio nimeamka mida hii, ila usingizi wangu ulikuwa wa mang'amu ng'amu sana, nimeota man utd ikiwa imetoa sare ya 2-2 dhidi ya seville huku mpira ukiwa umeisha na wachezaji wa seville wakiongozwa na Banega wakishangilia uwanja mzima wa old traford.

Acha bhna nikweli au
[emoji12]
 
Ndio nimeamka mida hii, ila usingizi wangu ulikuwa wa mang'amu ng'amu sana, nimeota man utd ikiwa imetoa sare ya 2-2 dhidi ya seville huku mpira ukiwa umeisha na wachezaji wa seville wakiongozwa na Banega wakishangilia uwanja mzima wa old traford.
Yaani umeota dakika 20 zilizopita, ukaamka na kuanzisha thread?
 
Kalale upya maana inaelekea umekula kiporo tumbo linavuruga unaona Banega anashangilia.kuwa makini utajinyea muda si muda.
 
Ndio nimeamka mida hii, ila usingizi wangu ulikuwa wa mang'amu ng'amu sana, nimeota man utd ikiwa imetoa sare ya 2-2 dhidi ya seville huku mpira ukiwa umeisha na wachezaji wa seville wakiongozwa na Banega wakishangilia uwanja mzima wa old traford.
Mtu ukilala huku una njaa kuna wakati unaweza ota umegeuka kuwa mwewe!
 
Back
Top Bottom