Sidhani kama upo sahihi japo ni mawazo yako. Soma vizuriSiku si nyingi utapata msiba na mtausafirisha kwa gari na wewe utakua miongoni mwa wanamsafara.
Ahsante.
😂 Kama mmeamka wote salama imeisha hiyo usiwe na hofuHa ha ha......uyu mtoa mada ananivuruga kabisa[emoji1]
Asiyesikia la Mkuu,huvunjika guu!Ila jamaa alishuka kwenye basi na kuku wake kibudu. Which mean sikuendelea naye kwenye safari
Code imefunguka vzur snWengi hupeleka vipato haramu kwa familia zao licha ya kelele nyingi dhidi yao..tusubiri madhara juu ya familia zao maana wamepanda uovu huo wenyewe kwa uangamivu wao wenyewe. Endeleeni na safari yenu tusubiri taarifa juu familia yake.
Tafuta hela maana hizo huwa ndoto mawenge za umasikini na ungeendelea kuiota hiyo ndoto ungejikuta unamla huyo kibudu na manyoya yake.Jamani nimeota ndoto nipo kwenye basi akapanda Mzee fulani na kuku, nilipomuangalia yule kuku kumbe alikuwa amekufa. Nikamuuliza mbona umebeba kuku mfu, akawa hana majibu.
Basi abairia wengine wakawa wanampa vipande vya Misaafu kuhusu kibudu, jamaa akagoma kabisa akasema anapelekea familia.[emoji24]
Ndoto hii imenitafakarisha sana.
HayaTafuta hela maana hizo huwa ndoto mawenge za umasikini na ungeendelea kuiota hiyo ndoto ungejikuta unamla huyo kibudu na manyoya yake.
Umasikini huwa haupunzishi kichwa wala mwili yaani muda wa kupumzika uote unapanda ndege wewe unaota ma vibudu na kumamae ungeendelea kuota yule kuku kibudu angefufuka na kuanza kukukimbiza trust me.