Nimeota mtu kapanda basi na kuku aliyekufa

Upo katika jambo (safari) ambayo haijatimia bado na kuna mtu ambaye ataingilia kati huku amebeba roho mfu (mzoga) na usipokuwa makini ataifisha safari yako...
 
Wengi hupeleka vipato haramu kwa familia zao licha ya kelele nyingi dhidi yao..tusubiri madhara juu ya familia zao maana wamepanda uovu huo wenyewe kwa uangamivu wao wenyewe. Endeleeni na safari yenu tusubiri taarifa juu familia yake.
 
Code imefunguka vzur sn
 
Jamani nimeota ndoto nipo kwenye basi akapanda Mzee fulani na kuku, nilipomuangalia yule kuku kumbe alikuwa amekufa. Nikamuuliza mbona umebeba kuku mfu, akawa hana majibu.

Basi abairia wengine wakawa wanampa vipande vya Misaafu kuhusu kibudu, jamaa akagoma kabisa akasema anapelekea familia.[emoji24]

Ndoto hii imenitafakarisha sana.
Tafuta hela maana hizo huwa ndoto mawenge za umasikini na ungeendelea kuiota hiyo ndoto ungejikuta unamla huyo kibudu na manyoya yake.
Umasikini huwa haupunzishi kichwa wala mwili yaani muda wa kupumzika uote unapanda ndege wewe unaota ma vibudu na kumamae ungeendelea kuota yule kuku kibudu angefufuka na kuanza kukukimbiza trust me.
 
Haya
 
Mzee mwenye kuku mfu leo kaendeleza ubishi. Kamtumbukiza kinywani kabisa ameona kelele za watu wa dini zimezidi.
Hili kuku aina ya DP World kubwa sana na lina mafuta mengi hawezi kulitupa kirahisi.
 
Back
Top Bottom