Desierto
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 901
- 3,112
Kama mada inavojieleza hapo juu nimeota nasafisha mitaro ya barabarani
Ila wapita njia walikuwa wananipa moyo na kunifariji kuwa hivi karibuni naweza kupata tuzo au faida kubwa kwa kazi hiyo ya kujitolea.
Mimi pia nilikuwa naifurahia kwani nilifanya kwa bidii pia juzi kama siku tatu zimepita niliota tumeenda shambani kupalilia mahindi tulikuwa tupo wengi tu kama 7 hivi. Ila mimi nikakataa kulima kwa kisingizio kwamba naumwa. Ila nilikuwa siumwi.
Baadae sana ndo nikalimalima kasehemu kadogo tu shambani niliona majani tu sikuona mmea wowote japo shamba lilikuwa na majani sana.
Hizi ndoto mbili zimenikosesha amani.
Kwa wakati huu nilikuwa na changamoto sana kazini kazi za wateja zilinipa hasara kodi ya ofisi mwezi huu ya nyumbani mwezi huu
Yaani ni balaa wateja kadhaa wananidai pesa baada ya kazi kwenda kombo. Mfano mmoja alinipa 110000 ila kazi imezingua nilitumia 85 hivo natakiwa nimrudishie hela yake japo hakuna anayenipelekesha hata mmoja wote nawaambia tu ukweli.