Nimeota ndoto kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo

Nimeota ndoto kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo

Ota Tanzania mwezi wa 2 itakuwa kama Dubai mkuu
 
Acheni kudanganywa kizembe hivi,yaani anawaambia ameota mnampongeza,huyu alikua anajua mipango yote iliyopangwa,wala sio kuota wala nini.tumieni akili kufikiri
 
Tusidanganyane apa hakuna kuota wala nini...wewe ulijua mipango mliyopanga kumfanyia jamaa sababu mlianza kusingizia mmeshinda, mkurugenzi aliyetoa ushahid mahakamani kuwa mlishindwa mkamtumbua...badae hiyo ndo plan B yenu...Mungu anawaona..what goes around...
Akiota Lema sawa. Akiota mwingine hapana.
 
Mkuu Mayala asante sana angalau kwa kujaribu kuweka mambo sawa najua kwa heshima yako labda hawa bin adam wanaweza angalau kuwa Na imani Na ninachokisema,Mimi bado nasisitiza ilikuwa ndoto .mkuu kuhusu Ndoto za kuelea angani hata Mimi nazipata sana kwa ufupi ni moja ya ndoto tamu sana zinapokutokea ila sijawahi kunga'mua nini maana yake wajuzi watakuja tu Na majibu tutayapata
 
HAHAHAHAAAAA KWELI IMETIMIA. LEO UKILALA GEUKIA NA UPANDE WA KASKAZINI TUONE KAMA NA HUKO KUNAWEZEKANA KUPATA JIMBO LA UCHAGUZI HAHAHAHAAA, NDOTO ZAKO TUTAZIFUNGULIA OFISI.
 
Acheni kudanganywa kizembe hivi,yaani anawaambia ameota mnampongeza,huyu alikua anajua mipango yote iliyopangwa,wala sio kuota wala nini.tumieni akili kufikiri
Siku zote Nabii hakubaliki nyumbani kwao
 
Mkuu Mayala asante sana angalau kwa kujaribu kuweka mambo sawa najua kwa heshima yako labda hawa bin adam wanaweza angalau kuwa Na imani Na ninachokisema,Mimi bado nasisitiza ilikuwa ndoto .mkuu kuhusu Ndoto za kuelea angani hata Mimi nazipata sana kwa ufupi ni moja ya ndoto tamu sana zinapokutokea ila sijawahi kunga'mua nini maana yake wajuzi watakuja tu Na majibu tutayapata
Mkuu Mzushi, you have the powers from within.

Mwili wa binadamu una sehemu kuu 2. Mwili wa nyama, physical body na mwili wa roho, spiritual body, Astra body or spirit ambayo ndio yenye uhai.

Unapolala physical body tuu ndio inalala, spiritual body hailali, ndio hiyo inatembea tembea na wewe kujihisi unaota.

Hii spiritual body haina mass, distance wala time. Ila ndio hii inayopaa na kushuhudia kila kitu ukiamka unadhani umeota lakini kitu kinakuja kutokea.

Uwezo wa kuicomand spiritual body unaitwa psychic powers.

Ukiweza kukomand then unaweza kuamua uote nini, lucid dreams.

Uwezo wa kusoma mawazo ya mtu unaitwa telepathy.
Uwezo wa kuota na kujua kitu kitakachotokea unaitwa precognition na ndoto za kuota yajayo zinaitwa precognitive dreams.
Uwezo wa kubashiri yajayo unaitwa premonition.
Uwezo wa kuvuta kitu bila kukigusa unaitwa telepotatation.
Uwezo wa kupaa angani unaitwa levitation.

Kama una mudanza karibu mitaa hii

Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, Wewe Unazo?
Paskali
 
NDOTO NI MAMBO YA GHAIBU, HATUPASWI KUYAAMINI.
NDOTO NI FIKRA ZAKO WAKATI UPO USINGIZINI.
 
Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
Wewe eidha ni hakimu uliyehusika au baba yako ndo hakimu.
 
Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
Leo niotee ndoto ya Lema kupigwa mvua ishirini
 
Back
Top Bottom