Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha ndoto wala nini wewe ni miongoni mwa wapanga mipango ya kudhurumu haki za wapinzani na ulijua mpango huu mapema kabla ya hukumu maana mliupanga na kuujadili.Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
Sio lazima kuwa TISS kujua hilo, kwanza sio lazima tiss wawe na hiyo info. Wazee wa baraza, hakimu, mawakili wa Pande zote hujua uelekeo wa kesi. Vile vile ndugu na marafiki ya niliowataja huwa na taarifa kwa kuambiwa na hao niliowataja.Mzee upo,TISS nini? Maana info hiyo ni ya ndani sana na ni kweli imetokea
Kweli kabisaMkuu kama una undugu na system or whatsoever kuwa makini.,,,,
Kuhukumiwa kwenda jelaKula mvua@!@ mi sijaelewa kabsa
Hukumu za kupanga hizi, mbona hujawahi kuleta ndoto zingine hapa?Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
M ccm huyuTunakutilia mashaka .
Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
Na akipata maagizo kutoka juuUsikute jamaa ndio hakimu alomfunga mbunge.
Una uhakika na unacho kinena?Toka Tanzania ipate Uhuru sijawahi kusikia mbunge kafungwa
Ila hii imevunja record na hii inanipa mashaka sana na mahakama za Tanzania kwamba zinatumika kisiasa.