Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Mkuu.....
Bila shaka umelala bila kula. Na bahati mbaya ukapiga na viroba kabla ya kulala
omba radhi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu.....
Bila shaka umelala bila kula. Na bahati mbaya ukapiga na viroba kabla ya kulala
yawezekana kabisa ila atuletee faru john na Ben kwanza kabla hajaota ndoto nyingineAu ni Mfalme Mwenyewe?
akitoka hapo,aende amung'oe mbowe!Niliwahi kuambiwa na mtu wa ndani wa chama tawala jinsi ya mikakati walivopanga nikajua masihara, naona inatimia wameanza na Lijualikali anafuata Lema na wanapima upepo wananchi tuna react vipi
Usikute jamaa ndio hakimu alomfunga mbunge.Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
Hatimaye imekuwa kweli.Hili jukwaa watu wanajitahidi sana kuota ndoto na ndoto zao huwa mara nying zinakuwaga ni za kweli.
Lakini ngoja tuone ndoto ya huyu jamaa itaishia wapi.
Kwani TB Joshua huwa anaanzaje kuota ndoto zake ........................!!?Hivi mtu unaanzaje tu kuota ndoto kama hii?? Funguka tu kuhusu source ya 'ndoto' yako mkuu....
Kwani mbunge yupo juu ya Sheria?.Toka Tanzania ipate Uhuru sijawahi kusikia mbunge kafungwa
Ila hii imevunja record na hii inanipa mashaka sana na mahakama za Tanzania kwamba zinatumika kisiasa.
Hili jukwaa MTU akisema ameota ndoto sio Wa kumpuuza.Hatimaye imekuwa kweli.
Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
Ohoooo.......[emoji15] [emoji15]omba radhi...
Punguza mihemko bwana mkubwa hivi wewe waniona Mimi mwehu sina uhusiano Na yeyote nasisitiza hiyo ni ndoto Na itabaki kuwa ndoto .hivi kwa nini watanzania mnakuwa kama TomasoTake care unaweza kumharibia ndugu yako kazi yake au rafiki yako au jamaa yako au hata mkeo wako kama ana connection ya hukumu la kesi ya Mbunge wa Ifakara in case wenye kazi zao wakiamua wafanye kazi zao.
Kwasababu ulichoandika kama mada na msisitizo wa hiyo unayoiita ndoto yako inajirudia na taarifa yake mmmmh Mashaka matupu!!!!
Anyway!! Feel free bwana sijakuhumu but take care na hizo ndoto za kuishirikisha jamii!! Kama enzi za akina Daniel na Yusufu ktk Bible.
Hapo ni siasa imetukika sio sheria.Kwani mbunge yupo juu ya Sheria?.