Mkuu Mayala asante sana angalau kwa kujaribu kuweka mambo sawa najua kwa heshima yako labda hawa bin adam wanaweza angalau kuwa Na imani Na ninachokisema,Mimi bado nasisitiza ilikuwa ndoto .mkuu kuhusu Ndoto za kuelea angani hata Mimi nazipata sana kwa ufupi ni moja ya ndoto tamu sana zinapokutokea ila sijawahi kunga'mua nini maana yake wajuzi watakuja tu Na majibu tutayapata
Mkuu Mzushi, you have the powers from within.
Mwili wa binadamu una sehemu kuu 2. Mwili wa nyama, physical body na mwili wa roho, spiritual body, Astra body or spirit ambayo ndio yenye uhai.
Unapolala physical body tuu ndio inalala, spiritual body hailali, ndio hiyo inatembea tembea na wewe kujihisi unaota.
Hii spiritual body haina mass, distance wala time. Ila ndio hii inayopaa na kushuhudia kila kitu ukiamka unadhani umeota lakini kitu kinakuja kutokea.
Uwezo wa kuicomand spiritual body unaitwa psychic powers.
Ukiweza kukomand then unaweza kuamua uote nini, lucid dreams.
Uwezo wa kusoma mawazo ya mtu unaitwa telepathy.
Uwezo wa kuota na kujua kitu kitakachotokea unaitwa precognition na ndoto za kuota yajayo zinaitwa precognitive dreams.
Uwezo wa kubashiri yajayo unaitwa premonition.
Uwezo wa kuvuta kitu bila kukigusa unaitwa telepotatation.
Uwezo wa kupaa angani unaitwa levitation.
Kama una mudanza karibu mitaa hii
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, Wewe Unazo?
Paskali