Nimeota ndoto kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo

mzushi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
3,094
Reaction score
4,252
Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
 
Mtafute Yusuf aje aitafasri ndoto yako
 
Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.

Hongera kwa kuota
 
ndugu uwe unaendelea kutushirikisha kwenye ndoto zako sasa nimeziamini rasmi
 
Back
Top Bottom