Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Haikuwa ndoto ndugu yangu. Ndo ujue Tanzania kesi inasikilizwa na Hallkimu, lkn hukumu anatoa mtu mwingine.Kweli watu mnajua kuota.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haikuwa ndoto ndugu yangu. Ndo ujue Tanzania kesi inasikilizwa na Hallkimu, lkn hukumu anatoa mtu mwingine.Kweli watu mnajua kuota.
Siyo bure wewe ni mmoja wa hao mahakimu/ majaji au wazee wa mahakama/ kalani.au mojaWatu walidhihaki kuwa Mimi mnywa viloba Mara mzushi tu
Toka Tanzania ipate Uhuru sijawahi kusikia mbunge kafungwaHaikuwa ndoto ndugu yangu. Ndo ujue Tanzania kesi inasikilizwa na Hallkimu, lkn hukumu anatoa mtu mwingine.
Tetes kachukua miez 6Mkuu kweli uliona maono kilombero mtu kala mvua kweli
Ngoja tukuangalie vizuri inawezekana ukawa ni hakimu wa hiyo kesiNasikia Kilombero mtu kapewa tayari