Hayo yalikuwa ni maono ya nabii Daniel na nabii YOHANA siyo maono niliyoyaona MimiZinazungumzwa habari za joka, dubu, chui na simba we unaleta habari za paka! Wapi biblia imemtaja paka kwenye habari za mwanamke kahaba? Bora hata ungeleta habari za mpanda farasi mwenye kikombe cha mvinyo
Huwez elewa hayo ni Mambo ya kirohoKwani paka sio kiumbe cha Mungu? Ukiona roho ya paka ndiyo nini sasa? Kwani kuna ubaya gani, kama kweli zipo ikiwezekana kuona roho ya sungura, kuku, ng'ombe, mbuzi nk. Ubaya uko wapi? Au ulikuwa unawaza sana kuhusu paka ndiyo maana ukaota π
Usife MOYO mtumishSidhani kama hapa uliposhirikisha ni sahihi , maana wengi wetu imani zimetuvunja moyo mmo , hatuna tena namna ya kuzitetea zaidi ya kuziponda na kuzi kandia.
Zaidi ungerudi katika tafari mbele ha ekaristi takatifu huwenda ukapata majibu, lakini jua pia utawala wa upapa ni zaidi tu ujuavyo na kuudhania heri kuliombea taifa na familia yako kuliko utawala wa upapa.
Baada ya kuona roho ya Paka vipi umaskini wako umeisha? Watoto wako wameenda Shule? Umejenga nyumba? Je mbinguni utaenda?Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Katika kufunga Kuna faida zake
Huenda ukaendelea kufunga na ukaendelea kubaki masikin sana usiye na tumaini wala rafiki wa kweli, wala msaada wala mfadhili
Usiye na cheo wala uchumi wa kueleweka
Lakini BWANA huendelea kukaa pemben yako daima , huendelea kukupenda na kukushika na kujua thamani yako siku hata siku
Hivyo tusife moyo wala usife moyo mtumish
Katika faida za kufunga mara kwa mara BWANA huniinulia maono ya kila namna mazuri kwa mabaya lakin yote ni maono
Mengine ya watu ninaojuana nao,mengine ya jamii furani mengine ya watu fulani
Kuna ndoto imekuwa ikinitesa sana siku nyingi nayo ni maono ambayo BWANA alinifunulia
Nilimuona papa Francisco wa Roma akiwa ameketi kwenye kiti chake cha enzi, na hapo kwenye kiti chake palikuwa na ROHO wa paka ambaye alikuwa amekaa juu Papa Francis
Paka huyo alionekana kufanya utawala mkubwa katika kiti hicho na kuchukua nafasi kubwa kuliko hata papa mwenyewe, nilishangaa sana
Ni maono niliyoyaona Mimi mtumish nikiwa nimefunga katika ekarist takatifu
Ngoja tuendelee kumungoja BWANA tuone atafanyia nini zaidi
Ikumbukwe Mimi pia ni mkatoliki
Asante sana
SAYUNI BOY
Acha ujinga na kukaririshwa mambo ya kina mwamposa! Mambo ya kiroho yapo katika kuishi na kushika maisha ya kweli ya kikristu, sio ndoto na miujuza ya ajabu ajabu, kuungama, kupokea ekaristi, kutembelea wagonjwa nk. Hayo mambo ya ndoto za paka na miujiza ya danganya toto ni mambo ya kishirikinaHuwe
Huwez elewa hayo ni Mambo ya kiroho
Kwahiyo papa anaishi maisha ya kikristoAcha ujinga na kukaririshwa mambo ya kina mwamposa! Mambo ya kiroho yapo katika kuishi na kushika maisha ya kweli ya kikristu, sio ndoto na miujuza ya ajabu ajabu, kuungama, kupokea ekaristi, kutembelea wagonjwa nk. Hayo mambo ya ndoto za paka na miujiza ya danganya toto ni mambo ya kishirikina
Roho ni kitu kisichoonekana, hakina umbo wala sura. Wewe unaposema uliona roho wa paka, we ulijuaje kwamba huyo ni roho wa paka ilhali roho haina umbo?kwenye kiti chake palikuwa na ROHO wa paka ambaye alikuwa amekaa juu Papa Francis
Paka huyo alionekana kufanya utawala mkubwa katika kiti hicho na kuchukua nafasi kubwa kuliko hata papa mwenyewe, nilishangaa sana
Hapana umasikin wangu haujaisha ila kuna siku utaishia, watoto wangu hawajaenda shule ila kuna siku wataenda , nyumba sijajenga ila kuna siku nitajengaBaada ya kuona roho ya Paka vipi umaskini wako umeisha? Watoto wako wameenda Shule? Umejenga nyumba? Je mbinguni utaenda?
Acha mzahaNjaa huleta hallucinations. Piga msosi utakua poa
Hujielewi kabisaKwani paka sio kiumbe cha Mungu? Ukiona roho ya paka ndiyo nini sasa? Kwani kuna ubaya gani, kama kweli zipo ikiwezekana kuona roho ya sungura, kuku, ng'ombe, mbuzi nk. Ubaya uko wapi? Au ulikuwa unawaza sana kuhusu paka ndiyo maana ukaota π
Basi achana na hizo ndoto hazina faida kwakoHapana umasikin wangu haujaisha ila kuna siku utaishia, watoto wangu hawajaenda shule ila kuna siku wataenda , nyumba sijajenga ila kuna siku nitajenga
π πUsiwe unafakamia masangu/makande makavu kwa wingi kabla ya kulaza fuvu lako kwenye kilago usiku.
Kumbe ulikuwa umefunga hyo kawaida sana kuona hata roho wa paka mana sijawahi kusikia roho wa paka. Ila mkuu ungekula kwanza mtumishi. Njaa ni mbaya sana ujue.Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Katika kufunga Kuna faida zake
Huenda ukaendelea kufunga na ukaendelea kubaki masikin sana usiye na tumaini wala rafiki wa kweli, wala msaada wala mfadhili
Usiye na cheo wala uchumi wa kueleweka
Lakini BWANA huendelea kukaa pemben yako daima , huendelea kukupenda na kukushika na kujua thamani yako siku hata siku
Hivyo tusife moyo wala usife moyo mtumish
Katika faida za kufunga mara kwa mara BWANA huniinulia maono ya kila namna mazuri kwa mabaya lakin yote ni maono
Mengine ya watu ninaojuana nao,mengine ya jamii furani mengine ya watu fulani
Kuna ndoto imekuwa ikinitesa sana siku nyingi nayo ni maono ambayo BWANA alinifunulia
Nilimuona papa Francisco wa Roma akiwa ameketi kwenye kiti chake cha enzi, na hapo kwenye kiti chake palikuwa na ROHO wa paka ambaye alikuwa amekaa juu Papa Francis
Paka huyo alionekana kufanya utawala mkubwa katika kiti hicho na kuchukua nafasi kubwa kuliko hata papa mwenyewe, nilishangaa sana
Ni maono niliyoyaona Mimi mtumish nikiwa nimefunga katika ekarist takatifu
Ngoja tuendelee kumungoja BWANA tuone atafanyia nini zaidi
Ikumbukwe Mimi pia ni mkatoliki
Asante sana
SAYUNI BOY
Duh sawa mkuuKumbe ulikuwa umefunga hyo kawaida sana kuona hata roho wa paka mana sijawahi kusikia roho wa paka. Ila mkuu ungekula kwanza mtumishi. Njaa ni mbaya sana ujue.
Iko siku utaona wahuni wanakata malinda mtu anayefanana na wewehvi hvi