Nimeota ndoto na kuona roho wa paka kwenye kiti cha enzi cha papa Francis wa kanisa la Roma

Zinazungumzwa habari za joka, dubu, chui na simba we unaleta habari za paka! Wapi biblia imemtaja paka kwenye habari za mwanamke kahaba? Bora hata ungeleta habari za mpanda farasi mwenye kikombe cha mvinyo
Hayo yalikuwa ni maono ya nabii Daniel na nabii YOHANA siyo maono niliyoyaona Mimi

Mimi maono yangu nimeona paka mtumish
 
Sidhani kama hapa uliposhirikisha ni sahihi , maana wengi wetu imani zimetuvunja moyo mmo , hatuna tena namna ya kuzitetea zaidi ya kuziponda na kuzi kandia.

Zaidi ungerudi katika tafari mbele ha ekaristi takatifu huwenda ukapata majibu, lakini jua pia utawala wa upapa ni zaidi tu ujuavyo na kuudhania heri kuliombea taifa na familia yako kuliko utawala wa upapa.
Usife MOYO mtumish

Hata nabii YONA alitumwa linawi kwa watu waliopinda kuliko hawa
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU

Katika kufunga Kuna faida zake

Huenda ukaendelea kufunga na ukaendelea kubaki masikin sana usiye na tumaini wala rafiki wa kweli, wala msaada wala mfadhili

Usiye na cheo wala uchumi wa kueleweka

Lakini BWANA huendelea kukaa pemben yako daima , huendelea kukupenda na kukushika na kujua thamani yako siku hata siku

Hivyo tusife moyo wala usife moyo mtumish

Katika faida za kufunga mara kwa mara BWANA huniinulia maono ya kila namna mazuri kwa mabaya lakin yote ni maono

Mengine ya watu ninaojuana nao,mengine ya jamii furani mengine ya watu fulani

Kuna ndoto imekuwa ikinitesa sana siku nyingi nayo ni maono ambayo BWANA alinifunulia

Nilimuona papa Francisco wa Roma akiwa ameketi kwenye kiti chake cha enzi, na hapo kwenye kiti chake palikuwa na ROHO wa paka ambaye alikuwa amekaa juu Papa Francis

Paka huyo alionekana kufanya utawala mkubwa katika kiti hicho na kuchukua nafasi kubwa kuliko hata papa mwenyewe, nilishangaa sana

Ni maono niliyoyaona Mimi mtumish nikiwa nimefunga katika ekarist takatifu

Ngoja tuendelee kumungoja BWANA tuone atafanyia nini zaidi

Ikumbukwe Mimi pia ni mkatoliki

Asante sana

SAYUNI BOY
Baada ya kuona roho ya Paka vipi umaskini wako umeisha? Watoto wako wameenda Shule? Umejenga nyumba? Je mbinguni utaenda?
 
Huwe

Huwez elewa hayo ni Mambo ya kiroho
Acha ujinga na kukaririshwa mambo ya kina mwamposa! Mambo ya kiroho yapo katika kuishi na kushika maisha ya kweli ya kikristu, sio ndoto na miujuza ya ajabu ajabu, kuungama, kupokea ekaristi, kutembelea wagonjwa nk. Hayo mambo ya ndoto za paka na miujiza ya danganya toto ni mambo ya kishirikina
 
Ni ndoto au maono, Kama ni maono lazima umuulize aliyekuonyesha nini maana yake, sio kuona na kuhadithia, lazima uulize, umenionyesha ili nifanye nini.
 
Acha ujinga na kukaririshwa mambo ya kina mwamposa! Mambo ya kiroho yapo katika kuishi na kushika maisha ya kweli ya kikristu, sio ndoto na miujuza ya ajabu ajabu, kuungama, kupokea ekaristi, kutembelea wagonjwa nk. Hayo mambo ya ndoto za paka na miujiza ya danganya toto ni mambo ya kishirikina
Kwahiyo papa anaishi maisha ya kikristo
 
kwenye kiti chake palikuwa na ROHO wa paka ambaye alikuwa amekaa juu Papa Francis

Paka huyo alionekana kufanya utawala mkubwa katika kiti hicho na kuchukua nafasi kubwa kuliko hata papa mwenyewe, nilishangaa sana
Roho ni kitu kisichoonekana, hakina umbo wala sura. Wewe unaposema uliona roho wa paka, we ulijuaje kwamba huyo ni roho wa paka ilhali roho haina umbo?

Mara tena unasema paka huyo alionekana.. we uliona roho wa paka au uliona paka?
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU

Katika kufunga Kuna faida zake

Huenda ukaendelea kufunga na ukaendelea kubaki masikin sana usiye na tumaini wala rafiki wa kweli, wala msaada wala mfadhili

Usiye na cheo wala uchumi wa kueleweka

Lakini BWANA huendelea kukaa pemben yako daima , huendelea kukupenda na kukushika na kujua thamani yako siku hata siku

Hivyo tusife moyo wala usife moyo mtumish

Katika faida za kufunga mara kwa mara BWANA huniinulia maono ya kila namna mazuri kwa mabaya lakin yote ni maono

Mengine ya watu ninaojuana nao,mengine ya jamii furani mengine ya watu fulani

Kuna ndoto imekuwa ikinitesa sana siku nyingi nayo ni maono ambayo BWANA alinifunulia

Nilimuona papa Francisco wa Roma akiwa ameketi kwenye kiti chake cha enzi, na hapo kwenye kiti chake palikuwa na ROHO wa paka ambaye alikuwa amekaa juu Papa Francis

Paka huyo alionekana kufanya utawala mkubwa katika kiti hicho na kuchukua nafasi kubwa kuliko hata papa mwenyewe, nilishangaa sana

Ni maono niliyoyaona Mimi mtumish nikiwa nimefunga katika ekarist takatifu

Ngoja tuendelee kumungoja BWANA tuone atafanyia nini zaidi

Ikumbukwe Mimi pia ni mkatoliki

Asante sana

SAYUNI BOY
Kumbe ulikuwa umefunga hyo kawaida sana kuona hata roho wa paka mana sijawahi kusikia roho wa paka. Ila mkuu ungekula kwanza mtumishi. Njaa ni mbaya sana ujue.
Iko siku utaona wahuni wanakata malinda mtu anayefanana na wewehvi hvi
 
Duh sawa mkuu

Ubalikiwe
 
Back
Top Bottom