Nimeota ndoto na kuona roho wa paka kwenye kiti cha enzi cha papa Francis wa kanisa la Roma

Apo unaonyeshwa kuwa ukristo ni unaongozwa na roho za kishetani paka ni miongoni mwa wanyama wanaotumia na nguvu za giza. Karibu katika uislam
 
Unaanza taratibu mwisho wa siku unasimama kariakoo na spika yako unaanza kukusanya hela kwa watu ambao walikuwa hawapo ulipo hubiri baadae tunakukuta kitambaa cheupe
 
Apo unaonyeshwa kuwa ukristo ni unaongozwa na roho za kishetani paka ni miongoni mwa wanyama wanaotumia na nguvu za giza. Karibu katika uislam
Shetani mwenyewe alisilim sasa hapo ndo nitakuwa nimekwepa kitu gan
 
Mwenzako alipiga stori na yesu hadi akapewa namba za simu ila alipoombwa awape waumini akadai amezisau ila wewe tunakuaminia, tupe japo picha moja tu.
Hadi Yesu Alikubali Mifumo Ya Mteule Wake Akasema ""Ewaaa"
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU

Katika kufunga Kuna faida zake

Huenda ukaendelea kufunga na ukaendelea kubaki masikin sana usiye na tumaini wala rafiki wa kweli, wala msaada wala mfadhili

Usiye na cheo wala uchumi wa kueleweka

Lakini BWANA huendelea kukaa pemben yako daima , huendelea kukupenda na kukushika na kujua thamani yako siku hata siku

Hivyo tusife moyo wala usife moyo mtumish

Katika faida za kufunga mara kwa mara BWANA huniinulia maono ya kila namna mazuri kwa mabaya lakin yote ni maono

Mengine ya watu ninaojuana nao,mengine ya jamii furani mengine ya watu fulani

Kuna ndoto imekuwa ikinitesa sana siku nyingi nayo ni maono ambayo BWANA alinifunulia

Nilimuona papa Francisco wa Roma akiwa ameketi kwenye kiti chake cha enzi, na hapo kwenye kiti chake palikuwa na ROHO wa paka ambaye alikuwa amekaa juu Papa Francis

Paka huyo alionekana kufanya utawala mkubwa katika kiti hicho na kuchukua nafasi kubwa kuliko hata papa mwenyewe, nilishangaa sana

Ni maono niliyoyaona Mimi mtumish nikiwa nimefunga katika ekarist takatifu

Ngoja tuendelee kumungoja BWANA tuone atafanyia nini zaidi

Ikumbukwe Mimi pia ni mkatoliki

Asante sana

SAYUNI BOY
Usitumie neno paka sema nyau
 
Wakikuwahisha hospital bado una nafasi ya kupona.
 
Ndoto yako ilimaanisha huyu mzee alikuwa anatawaliwa na nguvu ya Ibilisi chini ya majesuits ,hiyo rangi nyeusi ni rangi ya sare za majesuits na mkuu wao huyo ,na huyo ndio agent WA Ibilisi ndani ya kanisa .
Paka mweusi kwenye kichwa cha Pope Francis ndio huyo black pope au mkuu wa Jesuits
 
Tembea na baba gugu labda unaweza kutoka na kitu hapo

Screenshot_20250223-232752_Chrome.jpg

Screenshot_20250223-232733_Chrome.jpg
 
Beira Baby Boy
LONDON boy ! chalii ulikuja humu jukwaani wa moto sana,,, kwa siku thread Mia
 
Back
Top Bottom