jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake ni suala la muda tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaya print?Ni maono mwana wa MUNGU huenda MWENYEZI MUNGU atafanyia jambo juu ya hicho kiti
Hadi Yesu Alikubali Mifumo Ya Mteule Wake Akasema ""Ewaaa"Mwenzako alipiga stori na yesu hadi akapewa namba za simu ila alipoombwa awape waumini akadai amezisau ila wewe tunakuaminia, tupe japo picha moja tu.
Usitumie neno paka sema nyauAmani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Katika kufunga Kuna faida zake
Huenda ukaendelea kufunga na ukaendelea kubaki masikin sana usiye na tumaini wala rafiki wa kweli, wala msaada wala mfadhili
Usiye na cheo wala uchumi wa kueleweka
Lakini BWANA huendelea kukaa pemben yako daima , huendelea kukupenda na kukushika na kujua thamani yako siku hata siku
Hivyo tusife moyo wala usife moyo mtumish
Katika faida za kufunga mara kwa mara BWANA huniinulia maono ya kila namna mazuri kwa mabaya lakin yote ni maono
Mengine ya watu ninaojuana nao,mengine ya jamii furani mengine ya watu fulani
Kuna ndoto imekuwa ikinitesa sana siku nyingi nayo ni maono ambayo BWANA alinifunulia
Nilimuona papa Francisco wa Roma akiwa ameketi kwenye kiti chake cha enzi, na hapo kwenye kiti chake palikuwa na ROHO wa paka ambaye alikuwa amekaa juu Papa Francis
Paka huyo alionekana kufanya utawala mkubwa katika kiti hicho na kuchukua nafasi kubwa kuliko hata papa mwenyewe, nilishangaa sana
Ni maono niliyoyaona Mimi mtumish nikiwa nimefunga katika ekarist takatifu
Ngoja tuendelee kumungoja BWANA tuone atafanyia nini zaidi
Ikumbukwe Mimi pia ni mkatoliki
Asante sana
SAYUNI BOY
Wakikuwahisha hospital bado una nafasi ya kupona.Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU