dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji25] [emoji25] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Mshana jr wanakuzishia mengi ila la kukaba mtu usingizini hilo linaweza likawa kweli ni kazi yako japo hlishatangaza umetubu na kuungama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Huyu jamaa mi sina shida naye hawezi nikaba usiku[emoji23] [emoji23] [emoji23] mchawi mpe mwanao
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87]Uliota amevunja duka au anakupapasa tu
Kesho utaota unatatuliwa marinda yakoWakuu poleni na majukuu leo mwenzenu nimeota nakabwa shingo mpaka kupoteza na pumzi usiku wa manane lakini wakati nakabwa niliona ndotoni sura kama Mshana jr akiwa na miwani yake ile ya tinted rangi nyeusi ndugu zangu hii ndoto ina maana gani nafikiria kuwatafuta cc mtu mzito na jichawi wanipe msaada tafadhali.
Napita Kwa kukimbia na fisiii na nimevaa makaniki
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mkuu ndoto kama hii niliwahi iota ila nikaogopa kuja hapa maana sikuwa na data , na sikua na uthubutu kama wewe, huyu jamaa kwa kweli basi tu...........
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kweli, masikini hana njozi njema hata siku moja.[emoji26]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kweli, masikini hana njozi njema hata siku moja.
Mshana _ usiku na miwani mieusi !!!???
Safari za masikini nyingi ni za hasara.