Nimeota ndoto nakabwa na Mshana jr

Nimeota ndoto nakabwa na Mshana jr

Mshana jr wanakuzishia mengi ila la kukaba mtu usingizini hilo linaweza likawa kweli ni kazi yako japo hlishatangaza umetubu na kuungama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji25] [emoji25] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Mkuu ndoto kama hii niliwahi iota ila nikaogopa kuja hapa maana sikuwa na data , na sikua na uthubutu kama wewe, huyu jamaa kwa kweli basi tu...........
 
Wakuu poleni na majukuu leo mwenzenu nimeota nakabwa shingo mpaka kupoteza na pumzi usiku wa manane lakini wakati nakabwa niliona ndotoni sura kama Mshana jr akiwa na miwani yake ile ya tinted rangi nyeusi ndugu zangu hii ndoto ina maana gani nafikiria kuwatafuta cc mtu mzito na jichawi wanipe msaada tafadhali.
Kesho utaota unatatuliwa marinda yako
 
Napita Kwa kukimbia na fisiii na nimevaa makaniki
IMG-20180116-WA0105.jpg
 
Mkuu ndoto kama hii niliwahi iota ila nikaogopa kuja hapa maana sikuwa na data , na sikua na uthubutu kama wewe, huyu jamaa kwa kweli basi tu...........
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
sa ulidhani utaota ndoto gani kama unamfatilia mtu ambaye post zake zina vinasaba vya ushirikina na bado kunasiku utakuja kutuambia ame...
 
Back
Top Bottom