Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Ameshajinyeaamka utajikojolea hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshajinyeaamka utajikojolea hapo
Endelea kuota ila angalia usishushe mzigo kitandaniWakuu aisee kuna kandoto nimekaota jana kuwa leo Simba inatolewa na Namungo kombe la mapinduzi wanafungwa goli mbili, moja goli la ushindi la Namungo linafungwa na Kichuya na mimi nikioneshwaga kitu huwaga kinatokea kweli aisee, wakuu leo msishangae mkiona simba katolewa leo.
Siku nyingine jitahidi usilale njaa.Wakuu aisee kuna kandoto nimekaota jana kuwa leo Simba inatolewa na Namungo kombe la mapinduzi wanafungwa goli mbili, moja goli la ushindi la Namungo linafungwa na Kichuya na mimi nikioneshwaga kitu huwaga kinatokea kweli aisee, wakuu leo msishangae mkiona simba katolewa leo.
Kunani kule zenji?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1][emoji1][emoji1]Ndoto imeisha amka sasa [emoji23][emoji23]
Ndio handsome wetu wa jf .[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji3] ndoto huja kinyume.. Hiyo ndio nature ya ndotoWakuu aisee kuna kandoto nimekaota jana kuwa leo Simba inatolewa na Namungo kombe la mapinduzi wanafungwa goli mbili, moja goli la ushindi la Namungo linafungwa na Kichuya na mimi nikioneshwaga kitu huwaga kinatokea kweli aisee, wakuu leo msishangae mkiona simba katolewa leo.
Nyie ndio mnaofanya ndoto zionekane ni kitu cha hovyo.Wakuu aisee kuna kandoto nimekaota jana kuwa leo Simba inatolewa na Namungo kombe la mapinduzi wanafungwa goli mbili, moja goli la ushindi la Namungo linafungwa na Kichuya na mimi nikioneshwaga kitu huwaga kinatokea kweli aisee, wakuu leo msishangae mkiona simba katolewa leo.
Ukiona choo ndotoni, usikitumie kwani ni mtego huo[emoji1][emoji1][emoji1]
Hivi wewe ndiye yule uliyeotwa umepakatwa kwenye daladala za kwenda buza??Wakuu aisee kuna kandoto nimekaota jana kuwa leo Simba inatolewa na Namungo kombe la mapinduzi wanafungwa goli mbili, moja goli la ushindi la Namungo linafungwa na Kichuya na mimi nikioneshwaga kitu huwaga kinatokea kweli aisee, wakuu leo msishangae mkiona simba katolewa leo.
Atarudi na ndoto?kumekucha simba kamfunga namungo