Nimeota ndoto Simba anatolewa na Namungo kombe la Mapinduzi

Wakuu aisee kuna kandoto nimekaota jana kuwa leo Simba inatolewa na Namungo kombe la mapinduzi wanafungwa goli mbili, moja goli la ushindi la Namungo linafungwa na Kichuya na mimi nikioneshwaga kitu huwaga kinatokea kweli aisee, wakuu leo msishangae mkiona simba katolewa leo.
Endelea kuota ila angalia usishushe mzigo kitandani
 
Wakuu aisee kuna kandoto nimekaota jana kuwa leo Simba inatolewa na Namungo kombe la mapinduzi wanafungwa goli mbili, moja goli la ushindi la Namungo linafungwa na Kichuya na mimi nikioneshwaga kitu huwaga kinatokea kweli aisee, wakuu leo msishangae mkiona simba katolewa leo.
Siku nyingine jitahidi usilale njaa.
 
Wakuu aisee kuna kandoto nimekaota jana kuwa leo Simba inatolewa na Namungo kombe la mapinduzi wanafungwa goli mbili, moja goli la ushindi la Namungo linafungwa na Kichuya na mimi nikioneshwaga kitu huwaga kinatokea kweli aisee, wakuu leo msishangae mkiona simba katolewa leo.
[emoji3] ndoto huja kinyume.. Hiyo ndio nature ya ndoto
 
Wakuu aisee kuna kandoto nimekaota jana kuwa leo Simba inatolewa na Namungo kombe la mapinduzi wanafungwa goli mbili, moja goli la ushindi la Namungo linafungwa na Kichuya na mimi nikioneshwaga kitu huwaga kinatokea kweli aisee, wakuu leo msishangae mkiona simba katolewa leo.
Nyie ndio mnaofanya ndoto zionekane ni kitu cha hovyo.
 
Wakuu aisee kuna kandoto nimekaota jana kuwa leo Simba inatolewa na Namungo kombe la mapinduzi wanafungwa goli mbili, moja goli la ushindi la Namungo linafungwa na Kichuya na mimi nikioneshwaga kitu huwaga kinatokea kweli aisee, wakuu leo msishangae mkiona simba katolewa leo.
Hivi wewe ndiye yule uliyeotwa umepakatwa kwenye daladala za kwenda buza??
 
Back
Top Bottom