hahahahahahaha lol JF kiboko walahikifo kinakuita mkuu
hahahahahaha mwenzenu anataka kujua maana jamani lol hahahahahahahahahahahahahahaha uuuuuuuuuuuuuuuuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiUtakuwa mke mdogo wa huyo mchungaji karibuni
Rosemarie,umeombewa na Mtumishi wa Mungu Kiroho hivyo kama hutanii amini kweli Mungu amefanya kazi na usirudi maovuni bali kuishi maisha ya kumtukuza yeye!
Mungu ana namna nyingi ya kufanya kazi kinachotakiwa ni kuamini na kushukuru kwa hilo.
Hii hadi imetokea hivyo maana yake kuna juhudi umefanya ktk maombi na hayo ndio majibu! haitokei tu from no where!
Emaaaaaaaaanuel!!!!!!!!!
very very serious mkuu