Nimeota ndoto Tb Joshua ameniombea nikaanguka

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,445
Naomba kujua maana ya hii ndoto,niliota Tb Joshua alikuja nyumbani kwangu akaniombea halafu nikaanguka chini nikaanza kugala gala chini halafu pepo likanitoka,nataka kujua kama kuna anayejua maana ya ndoto kama hii
 
tafsiri: mchungaji wa kanisa lako anakaribia kukutaka ki-mapenzi, take care!
 
Ebu malizia hiyo ndoto,pepo gani ulihisi limetoka:la uchoyo,wizi,umbea,ngono,uchawi au? Ukimalizia ntakupa jibu la ndoto yako ndani ya dk mbili.
 
Let Love Lead, Emmaaaaaaaanuel!!
 
Rosemarie,umeombewa na Mtumishi wa Mungu Kiroho hivyo kama hutanii amini kweli Mungu amefanya kazi na usirudi maovuni bali kuishi maisha ya kumtukuza yeye!
Mungu ana namna nyingi ya kufanya kazi kinachotakiwa ni kuamini na kushukuru kwa hilo.
Hii hadi imetokea hivyo maana yake kuna juhudi umefanya ktk maombi na hayo ndio majibu! haitokei tu from no where!
Emaaaaaaaaanuel!!!!!!!!!
 
Siku iyo ulichelewa kula cha usiku na ulishiba saaana,iyo ndoto haina maana yeyote!
 
Huenda una nguvu za giza. Jaribu kwenda kuombewa au fanya sala binafsi , ni ndoto nzuri tu inaashiria uponyaji kama sijakosea. Haya ni mawazo yangu hayana uhusiani na Roho Mtakatifu unaweza ukayapinga .
 


Asante sana mkuu'nimekuelewa
 
Sidhani kama upo serious...if you know what I mean
 
na ulipoamka ulijisikiaje?
Pia inawezekana huwa unaangalia sana TB Joshua..
 
Kapime mimba#hiyo ndoto ina maanisha una mimba ila hujijui so nenda hoSpital sawa dada??

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kutokana na joining date yako naamini unayajua vizuri majukwaa ya JF...
Hivi kama habari hii ina ukweli unadhani ni ya kuwekwa CC wakati kuna Jukwaa la Dini...??
Ndio maana umeambulia shihaka kwa wasiokuelewa.

very very serious mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…