Nimeota ndoto Tb Joshua ameniombea nikaanguka

ha ha haaa
hata mwota ndoto mwenyewe lazima ametishika,
pole mwaya.

ni ndoto tu
amini unavyoamini wewe.
 
Acha nikutafsirie kidogo, kwa upande wangu nionavyo au nitatafsiri hvi inasema kuwa: kutakuwa na miaka 7 ya njaa na miaka 7 ya shibe na ile miaka saba ya shibe itatangulia kutakuwa na wakati watoto kufurahia tunda la shibe la katikkati, na vijana kuota ndoto kama hizo huku wakisema wao ni manabii, mitume, halafu kuwachukua watu kimshangazo, wazee wao watakuwa wakikodolea mimacho kuona mahindi, maharage, mpunga na mazao yakienenepa, Sasa ile miaka ya jana yake ya juzi yake yaani ya njaa kali isiyopimika katika mizani na hiyo njaa itaangaamiza mazao yote ya shambani na kilimo kwanza hakitakuwepo kabisa kwani njaa itawaua watu wote duniani hapatasalia hata mmoja isipokuwa mm tu, Sijui kama utakuwa umeshaelewa utafisiri huu, ngoja waje wenzangu Mentor, watu8 na Bujibuji waitafsiri hiyo ndoto
Naomba kujua maana ya hii ndoto,niliota Tb Joshua alikuja nyumbani kwangu akaniombea halafu nikaanguka chini nikaanza kugala gala chini halafu pepo likanitoka,nataka kujua kama kuna anayejua maana ya ndoto kama hii
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na wewe ndugu
 

Blasphemy..
 
Last edited by a moderator:

God with us....
Nilitaka kumjibu lakini basi umeshamaliza.
 
Kwa uzoefu wangu na jinsi nimejifunza toka kwa watu wengine ninapoangalia Emmanuel TV, ndoto yako ina maana kuna jambo linakukabili la kimwili au kiroho kinalohitaji wewe kukutana uso kwa uso na T.B joshua. Watu wengi waliota kama wewe waendapo SCOAN, T.B Joshua huwatolewa Unabii na kuwadeliver.
Naomba kujua maana ya hii ndoto,niliota Tb Joshua alikuja nyumbani kwangu akaniombea halafu nikaanguka chini nikaanza kugala gala chini halafu pepo likanitoka,nataka kujua kama kuna anayejua maana ya ndoto kama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…