Tanzania pambaneni sisi tumemaliza mchezo leo tumeweza kufuzu kwenye kombe la AFCON Itakayo kuwa Egypt hapo ni baada ya kutoka sare kwa sare na Gabob leo!![emoji13][emoji13]Nilipata mshtuko mkubwa nikiwa ndotoni, yaani clearly kabisa nimeona Uganda ikitandikwa 4 bila tena za haraka haraka zile za bandika bandua. Kila la kheri taifa stars na ndoto hii iwe kweli..!
Mkeka wangu wa M BET nimeutengeneza hivi :Duuh
Hata mimi nimeota ndoto kama hiyo sema pia lesotho akawa ameshinda moja!Nilipata mshtuko mkubwa nikiwa ndotoni, yaani clearly kabisa nimeona Uganda ikitandikwa 4 bila tena za haraka haraka zile za bandika bandua. Kila la kheri taifa stars na ndoto hii iwe kweli..!
Lesotho anasukwa vizuri tu, subiri uoneHata mimi nimeota ndoto kama hiyo sema pia lesotho akawa ameshinda moja!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwezi shindaNilipata mshtuko mkubwa nikiwa ndotoni, yaani clearly kabisa nimeona Uganda ikitandikwa 4 bila tena za haraka haraka zile za bandika bandua. Kila la kheri taifa stars na ndoto hii iwe kweli..!
Mimi nimeota nafanya calculation ya quadratic equation kwa kutumia general formula na jibu nikapata b=+ or - 2.
Mkuu kwrli ndo Lugha ya wapi?Alafu unaonekana ni Mdini Sana kuna thread we na wenzio mmepamba Moto na mitusi juu.Nikupe taarifa rasmi ila ni Psychological weapons iliyotumiwa Waganda kuwamaliza na Masikini Watanzania wenzangu bila kufanya reasoning wameingia kwenye mkenge sasa wimbo ni Msalaba.Jezi ya Taifa stars inajulikana hizo ni jezi za Kkoo na aliyeprient alikuwa na madhumuni haya ambayo wewe yameshakuathiri.Kesho Tanzania ikiingia vitani na adui yake watatoa bendera ya Tanzania yenye Msalaba wakati watu wanajadili Msalaba huku tunapigwa.Mwisho nikushauri tu kuwa achana na hizi mambo Tafuta ela maisha yaendelee,kumbuka tu Stars Leo anashinda note my Word.Itakuwa kwrli ki hivi MSALABA 0 UGANDA 5
Ela ni nini?Mkuu kwrli ndo Lugha ya wapi?Alafu unaonekana ni Mdini Sana kuna thread we na wenzio mmepamba Moto na mitusi juu.Nikupe taarifa rasmi ila ni Psychological weapons iliyotumiwa Waganda kuwamaliza na Masikini Watanzania wenzangu bila kufanya reasoning wameingia kwenye mkenge sasa wimbo ni Msalaba.Jezi ya Taifa stars inajulikana hizo ni jezi za Kkoo na aliyeprient alikuwa na madhumuni haya ambayo wewe yameshakuathiri.Kesho Tanzania ikiingia vitani na adui yake watatoa bendera ya Tanzania yenye Msalaba wakati watu wanajadili Msalaba huku tunapigwa.Mwisho nikushauri tu kuwa achana na hizi mambo Tafuta ela maisha yaendelee,kumbuka tu Stars Leo anashinda note my Word.
Maombi mawili kwa wakati mmoja hayapokelewiTugawane majukumu, we ombea cape verde basi, au sio..
Ni maombi mawili ya watu wawili juu ya vitu viwili, why not?
Fiat typing error TU MKUU.nimekuelewa na bia nusu shilling je la kkoo? Mbona na isiwe soda nusu beiMkuu kwrli ndo Lugha ya wapi?Alafu unaonekana ni Mdini Sana kuna thread we na wenzio mmepamba Moto na mitusi juu.Nikupe taarifa rasmi ila ni Psychological weapons iliyotumiwa Waganda kuwamaliza na Masikini Watanzania wenzangu bila kufanya reasoning wameingia kwenye mkenge sasa wimbo ni Msalaba.Jezi ya Taifa stars inajulikana hizo ni jezi za Kkoo na aliyeprient alikuwa na madhumuni haya ambayo wewe yameshakuathiri.Kesho Tanzania ikiingia vitani na adui yake watatoa bendera ya Tanzania yenye Msalaba wakati watu wanajadili Msalaba huku tunapigwa.Mwisho nikushauri tu kuwa achana na hizi mambo Tafuta ela maisha yaendelee,kumbuka tu Stars Leo anashinda note my Word.