Nimeota ndoto ya kutisha sana juu ya kitachotokea uwanjwa taifa kesho

Nilipata mshtuko mkubwa nikiwa ndotoni, yaani clearly kabisa nimeona Uganda ikitandikwa 4 bila tena za haraka haraka zile za bandika bandua. Kila la kheri taifa stars na ndoto hii iwe kweli..!
Tanzania pambaneni sisi tumemaliza mchezo leo tumeweza kufuzu kwenye kombe la AFCON Itakayo kuwa Egypt hapo ni baada ya kutoka sare kwa sare na Gabob leo!![emoji13][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naona leo tutajifariji na "Tumekufa Kuume"
 
Yaani "SHAGHALA BAGHALA"! HUKU MISALABA HAPA MATAPUTAPU NUSU BEI!
Kwa HAYA MAWILI "MOYO SIO FICHIO LA SIRI TENA!!!!!!!
 
Nilipata mshtuko mkubwa nikiwa ndotoni, yaani clearly kabisa nimeona Uganda ikitandikwa 4 bila tena za haraka haraka zile za bandika bandua. Kila la kheri taifa stars na ndoto hii iwe kweli..!
Hatuwezi shinda
Bashite ameishatia nuksi
 
Mimi nimeota nafanya calculation ya quadratic equation kwa kutumia general formula na jibu nikapata b=+ or - 2.

Archimedes alipata formula ya 'the volume of the water displaced is equal to the volume of the body submerged into water...akapiga 'ukelele' wa 'eureka, eureka'...wako (kwenye maandiko ) wanaosema alitoka nje mtupu...tehtehtehtehtehtehteh
 
Itakuwa kwrli ki hivi MSALABA 0 UGANDA 5
Mkuu kwrli ndo Lugha ya wapi?Alafu unaonekana ni Mdini Sana kuna thread we na wenzio mmepamba Moto na mitusi juu.Nikupe taarifa rasmi ila ni Psychological weapons iliyotumiwa Waganda kuwamaliza na Masikini Watanzania wenzangu bila kufanya reasoning wameingia kwenye mkenge sasa wimbo ni Msalaba.Jezi ya Taifa stars inajulikana hizo ni jezi za Kkoo na aliyeprient alikuwa na madhumuni haya ambayo wewe yameshakuathiri.Kesho Tanzania ikiingia vitani na adui yake watatoa bendera ya Tanzania yenye Msalaba wakati watu wanajadili Msalaba huku tunapigwa.Mwisho nikushauri tu kuwa achana na hizi mambo Tafuta ela maisha yaendelee,kumbuka tu Stars Leo anashinda note my Word.
 
Ela ni nini?

Fiat typing error TU MKUU.nimekuelewa na bia nusu shilling je la kkoo? Mbona na isiwe soda nusu bei
 
Back
Top Bottom