ibby
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 415
- 585
Tanzania pambaneni sisi tumemaliza mchezo leo tumeweza kufuzu kwenye kombe la AFCON Itakayo kuwa Egypt hapo ni baada ya kutoka sare kwa sare na Gabob leo!![emoji13][emoji13]Nilipata mshtuko mkubwa nikiwa ndotoni, yaani clearly kabisa nimeona Uganda ikitandikwa 4 bila tena za haraka haraka zile za bandika bandua. Kila la kheri taifa stars na ndoto hii iwe kweli..!
Sent using Jamii Forums mobile app