Nimeota ndoto ya kutisha sana juu ya kitachotokea uwanjwa taifa kesho

Fiat typing error TU MKUU.nimekuelewa na bia nusu shilling je la kkoo? Mbona na isiwe soda nusu bei
Asante Mkuu la bia tumwachie mwenyewe mtafuta Kiki.Inawezekana robo tatu ya kamati Wala gambe.
 
Nilipata mshtuko mkubwa nikiwa ndotoni, yaani clearly kabisa nimeona Uganda ikitandikwa 4 bila tena za haraka haraka zile za bandika bandua. Kila la kheri taifa stars na ndoto hii iwe kweli..!
Endelea kuota ukipata ufahamu utakuta Cape Verde droo na taifa stars droo hapo ndo utaona km kamati itavunjwa kwa mikate na maji ya kunywa au bia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipata mshtuko mkubwa nikiwa ndotoni, yaani clearly kabisa nimeona Uganda ikitandikwa 4 bila tena za haraka haraka zile za bandika bandua. Kila la kheri taifa stars na ndoto hii iwe kweli..!
Kwa ndoto yako naomba uote tena ile nusu bei iliyotangazwa na Mh RC imebatilishwa na sasa vinywaji vyote vitagaiwa bure!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…