Nimeota ndoto ya kutisha sana juu ya kitachotokea uwanjwa taifa kesho

Nimeota ndoto ya kutisha sana juu ya kitachotokea uwanjwa taifa kesho

Nilipata mshtuko mkubwa nikiwa ndotoni, yaani clearly kabisa nimeona Uganda ikitandikwa 4 bila tena za haraka haraka zile za bandika bandua. Kila la kheri taifa stars na ndoto hii iwe kweli..!
Endelea kuota ukipata ufahamu utakuta Cape Verde droo na taifa stars droo hapo ndo utaona km kamati itavunjwa kwa mikate na maji ya kunywa au bia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipata mshtuko mkubwa nikiwa ndotoni, yaani clearly kabisa nimeona Uganda ikitandikwa 4 bila tena za haraka haraka zile za bandika bandua. Kila la kheri taifa stars na ndoto hii iwe kweli..!
Kwa ndoto yako naomba uote tena ile nusu bei iliyotangazwa na Mh RC imebatilishwa na sasa vinywaji vyote vitagaiwa bure!!
 
Kila anaekufuru hufanya kila mbinu kuwakufurisha wenzake.

Sijaelewa umuhimu wa alama ya laana.
Achana na huo upuuzi, tujikite kumtoa KO mganda
Screenshot_2019-03-24-15-20-25.png
 
Back
Top Bottom