wakubeti
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 562
- 856
Haina haja ushangilie bibi, hakuna timu yakushangilia paleIkiwa jezi ni zile za msalaba sitaishangilia Taifa stars. Uzalendo wa misalaba siuwezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina haja ushangilie bibi, hakuna timu yakushangilia paleIkiwa jezi ni zile za msalaba sitaishangilia Taifa stars. Uzalendo wa misalaba siuwezi.
Hata iwe mbovu au nzima, uzalendo kwanza. Binafsi utaonishinda ni uzalendo wa misalaba.
Asante Mkuu la bia tumwachie mwenyewe mtafuta Kiki.Inawezekana robo tatu ya kamati Wala gambe.Fiat typing error TU MKUU.nimekuelewa na bia nusu shilling je la kkoo? Mbona na isiwe soda nusu bei
Niliyemjibu kanielewa,kajua ulikuwa ni Msimu kipindi fulani.
Endelea kuota ukipata ufahamu utakuta Cape Verde droo na taifa stars droo hapo ndo utaona km kamati itavunjwa kwa mikate na maji ya kunywa au biaNilipata mshtuko mkubwa nikiwa ndotoni, yaani clearly kabisa nimeona Uganda ikitandikwa 4 bila tena za haraka haraka zile za bandika bandua. Kila la kheri taifa stars na ndoto hii iwe kweli..!
Tuachane na misconception za hiyo alama kujumlisha, vinginevyo magari ya redcross msiwe mnapandaHata iwe mbovu au nzima, uzalendo kwanza. Binafsi utaonishinda ni uzalendo wa misalaba.
Niliyemjibu kanielewa,kajua ulikuwa ni Msimu kipindi fulani.
Una pepo wabayaNilipata mshtuko mkubwa nikiwa ndotoni, yaani clearly kabisa nimeona Uganda ikitandikwa 4 bila tena za haraka haraka zile za bandika bandua. Kila la kheri taifa stars na ndoto hii iwe kweli..!
Msipende KUJITOA UFAHAMU,ALAMA YA RED CROSS NI + yenye pande 5 ZILIZO SAWA haifanani na hiyo yenu MNAJITAHIDI KUISEMEA MKUUTuachane na misconception za hiyo alama kujumlisha, vinginevyo magari ya redcross msiwe mnapanda
Nilipata mshtuko mkubwa nikiwa ndotoni, yaani clearly kabisa nimeona Uganda ikitandikwa 4 bila tena za haraka haraka zile za bandika bandua. Kila la kheri taifa stars na ndoto hii iwe kweli..!
Kwa ndoto yako naomba uote tena ile nusu bei iliyotangazwa na Mh RC imebatilishwa na sasa vinywaji vyote vitagaiwa bure!!Nilipata mshtuko mkubwa nikiwa ndotoni, yaani clearly kabisa nimeona Uganda ikitandikwa 4 bila tena za haraka haraka zile za bandika bandua. Kila la kheri taifa stars na ndoto hii iwe kweli..!
Tuachane na misconception za hiyo alama kujumlisha, vinginevyo magari ya redcross msiwe mnapanda
0 - 0 , draw ya kutokufungana
Achana na huo upuuzi, tujikite kumtoa KO mgandaKila anaekufuru hufanya kila mbinu kuwakufurisha wenzake.
Sijaelewa umuhimu wa alama ya laana.
TFF wamekanusha kuhusika na hizo jezi, ni hujuma tumefanyiwa, na majinga kama nyinyi mnaingia kichwa kichwa tu.Itakuwa kwrli ki hivi MSALABA 0 UGANDA 5
TFF wamekanusha kuhusika na hizo jezi, ni hujuma tumefanyiwa, na majinga kama nyinyi mnaingia kichwa kichwa tu.Timu ya msalaba vs Uganda
jof3 wa michano
MIIJINGA KAMA NYIE NDO ILIONA ILE ALAMA NI SAWA NA YA RED CROSSTFF wamekanusha kuhusika na hizo jezi, ni hujuma tumefanyiwa, na majinga kama nyinyi mnaingia kichwa kichwa tu.
View attachment 1052992
Ishu hapa ilikuwa ni kuipoteza hii hujuma tuliyokuwa tunafanyiwa, sasa tungekubali kwamba ni msalaba huoni hujuma hii ingefanikiwa zaidi?I
MIIJINGA KAMA NYIE NDO ILIONA ILE ALAMA NI SAWA NA YA RED CROSS
Nilipata mshtuko mkubwa nikiwa ndotoni, yaani clearly kabisa nimeona Uganda ikitandikwa 4 bila tena za haraka haraka zile za bandika bandua. Kila la kheri taifa stars na ndoto hii iwe kweli..!