Nimeota, nimwambie Raisi wa liberia asigombeee tena uraisi, Astaafu kwa amani na Moyo wake.

Nimeota, nimwambie Raisi wa liberia asigombeee tena uraisi, Astaafu kwa amani na Moyo wake.

Giltami

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
1,038
Reaction score
1,623
Ndoto ni ndoto, huwezi kuchagua uote nini na nini uache kama ikimpendeza basi mama aende katika madhabau anayoamini apige magoti ashukuru kwa yote aliyowafanyia wananchi wake, Tukiwa wakweli vijana wengi ajira zilifunguka kiasi chake, Moyo wa mtu kichaka yeye kama mwanamke kajitahidi sana. Yangu ni hayo.
 
Mkuu upo Liberia kipande kipi?

Seriously inabidi vijana waongoze nchi bhana.
Vijana hawa wa kupenda mishangazi, kubet, kupiga puchu na kulalamika online?

Change must change the youths mentality first

Ile damu ya kimapinduzi ya vijana wetu haipo tena
 
Vijana hawa wa kupenda mishangazi, kubet, kupiga puchu na kulalamika online?

Change must change the youths mentality first

Ile damu ya kimapinduzi ya vijana wetu haipo tena
Ni kweli kabisa Mkuu tuna shida maeneo hayo, tunazingua wenyewe. Tukiamua tunaweza kubadilisha upepo wa nchi zetu na tukapata maendeleo ya kutosha.
 
Ni kweli kabisa Mkuu tuna shida maeneo hayo, tunazingua wenyewe. Tukiamua tunaweza kubadilisha upepo wa nchi zetu na tukapata maendeleo ya kutosha.
Vijana wanaweza sana… ila inabidi mnadilishane attitude nyie wenyewe

You can do it if you want - maana Sisi wazee hamtusikilizi
 
Kijana apewe nchi, vijana wenyewe ndio hao wakina Makonda, Mwigulu, Ali Hapi, Jerry Slaa, Mbowe, Lissu, ooh pleaaaaase!

#Samia mi5 tena🥳🥳🥳
 
Vijana wanaweza sana… ila inabidi mnadilishane attitude nyie wenyewe

You can do it if you want - maana Sisi wazee hamtusikilizi
😂Wazee tutajitahidi tuwasikilize pia.

Jambo la muhimu umeongea tuweze kubadilishana attitude naamini tutafanikiwa.
 
Back
Top Bottom