Vijana hawa wa kupenda mishangazi, kubet, kupiga puchu na kulalamika online?Mkuu upo Liberia kipande kipi?
Seriously inabidi vijana waongoze nchi bhana.
Ni kweli kabisa Mkuu tuna shida maeneo hayo, tunazingua wenyewe. Tukiamua tunaweza kubadilisha upepo wa nchi zetu na tukapata maendeleo ya kutosha.Vijana hawa wa kupenda mishangazi, kubet, kupiga puchu na kulalamika online?
Change must change the youths mentality first
Ile damu ya kimapinduzi ya vijana wetu haipo tena
Vijana wanaweza sana… ila inabidi mnadilishane attitude nyie wenyeweNi kweli kabisa Mkuu tuna shida maeneo hayo, tunazingua wenyewe. Tukiamua tunaweza kubadilisha upepo wa nchi zetu na tukapata maendeleo ya kutosha.
Lissu na mbowe na mwigulu sio vijanaKijana apewe nchi, vijana wenyewe ndio hao wakina Makonda, Mwigulu, Ali Hapi, Jerry Slaa, Mbowe, Lissu, ooh pleaaaaase!
#Samia mi5 tena🥳🥳🥳
😂Wazee tutajitahidi tuwasikilize pia.Vijana wanaweza sana… ila inabidi mnadilishane attitude nyie wenyewe
You can do it if you want - maana Sisi wazee hamtusikilizi