Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Mkuu si unajua mara nyingi ndoto hazina tafsiri ya moja kwa moja? Utakuta inakua kinyume chake!Ndio nimeshtuka hapa, Simba wanashangilia huku mashabiki wa Yanga wakiwa wamenuna baada ya Kagera Sugar kufanya yao.
Nilitamani hii ndoto iendelee ila ndo nimeshtuka sasa hivi! Wataalam wa ndoto ndoto yangu inaweza kutimia?
Basi amka ukakojoe usije ukajikojolea kitandaniNdio nimeshtuka hapa, Simba wanashangilia huku mashabiki wa Yanga wakiwa wamenuna baada ya Kagera Sugar kufanya yao.
Nilitamani hii ndoto iendelee ila ndo nimeshtuka sasa hivi! Wataalam wa ndoto ndoto yangu inaweza kutimia?
Kalale umalizie ndoto.Ndio nimeshtuka hapa, Simba wanashangilia huku mashabiki wa Yanga wakiwa wamenuna baada ya Kagera Sugar kufanya yao.
Nilitamani hii ndoto iendelee ila ndo nimeshtuka sasa hivi! Wataalam wa ndoto ndoto yangu inaweza kutimia?
Ndio nimeshtuka hapa, Simba wanashangilia huku mashabiki wa Yanga wakiwa wamenuna baada ya Kagera Sugar kufanya yao.
Nilitamani hii ndoto iendelee ila ndo nimeshtuka sasa hivi! Wataalam wa ndoto ndoto yangu inaweza kutimia?
Endelea kuota Ila chunga usikojoe kitandani.Ndio nimeshtuka hapa, Simba wanashangilia huku mashabiki wa Yanga wakiwa wamenuna baada ya Kagera Sugar kufanya yao.
Nilitamani hii ndoto iendelee ila ndo nimeshtuka sasa hivi! Wataalam wa ndoto ndoto yangu inaweza kutimia?
Kwani mpaka utukane mkuu?Kufungwa Yanga Leo sahau.. Ila wewe Kufungwa huko Morocco tena zaidi ya goli 3 ni kawaida sana, huwezi kuchomoke kule kudadadeq hata kwa kuloga huwezi kupata hata draw manina nyie KoLokološ¤£š¤£