Nimeota, Simba anashinda huku Yanga akifungwa kwenye mechi za leo

Ukicheki na mzee wako mmoja wa kijijini atakun'gata sikio kuwa ndoto hii itakua kinyume chake.
 
Ndio nimeshtuka hapa, Simba wanashangilia huku mashabiki wa Yanga wakiwa wamenuna baada ya Kagera Sugar kufanya yao.

Nilitamani hii ndoto iendelee ila ndo nimeshtuka sasa hivi! Wataalam wa ndoto ndoto yangu inaweza kutimia?
Wakati ulipoenda kulala ukaota ulikula?
 
Ndio nimeshtuka hapa, Simba wanashangilia huku mashabiki wa Yanga wakiwa wamenuna baada ya Kagera Sugar kufanya yao.

Nilitamani hii ndoto iendelee ila ndo nimeshtuka sasa hivi! Wataalam wa ndoto ndoto yangu inaweza kutimia?
Bangi mbichi huyumbisha dishi vibaya sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio nimeshtuka hapa, Simba wanashangilia huku mashabiki wa Yanga wakiwa wamenuna baada ya Kagera Sugar kufanya yao.

Nilitamani hii ndoto iendelee ila ndo nimeshtuka sasa hivi! Wataalam wa ndoto ndoto yangu inaweza kutimia?
Mkuu usiote Tena TAFADHALI
 
Ndio nimeshtuka hapa, Simba wanashangilia huku mashabiki wa Yanga wakiwa wamenuna baada ya Kagera Sugar kufanya yao.

Nilitamani hii ndoto iendelee ila ndo nimeshtuka sasa hivi! Wataalam wa ndoto ndoto yangu inaweza kutimia?
Uliroga
 
Back
Top Bottom