Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Wakati ulipoenda kulala ukaota ulikula?Ndio nimeshtuka hapa, Simba wanashangilia huku mashabiki wa Yanga wakiwa wamenuna baada ya Kagera Sugar kufanya yao.
Nilitamani hii ndoto iendelee ila ndo nimeshtuka sasa hivi! Wataalam wa ndoto ndoto yangu inaweza kutimia?
Bangi mbichi huyumbisha dishi vibaya sana.Ndio nimeshtuka hapa, Simba wanashangilia huku mashabiki wa Yanga wakiwa wamenuna baada ya Kagera Sugar kufanya yao.
Nilitamani hii ndoto iendelee ila ndo nimeshtuka sasa hivi! Wataalam wa ndoto ndoto yangu inaweza kutimia?
HahahaMkuu si unajua mara nyingi ndoto hazina tafsiri ya moja kwa moja? Utakuta inakua kinyume chake!
Mimi ni Lunyasi hasa lakini nimepata hofu kwa ndoto yako hiyo
Mkuu usiote Tena TAFADHALINdio nimeshtuka hapa, Simba wanashangilia huku mashabiki wa Yanga wakiwa wamenuna baada ya Kagera Sugar kufanya yao.
Nilitamani hii ndoto iendelee ila ndo nimeshtuka sasa hivi! Wataalam wa ndoto ndoto yangu inaweza kutimia?
UlirogaNdio nimeshtuka hapa, Simba wanashangilia huku mashabiki wa Yanga wakiwa wamenuna baada ya Kagera Sugar kufanya yao.
Nilitamani hii ndoto iendelee ila ndo nimeshtuka sasa hivi! Wataalam wa ndoto ndoto yangu inaweza kutimia?